PAPII KOCHA KUACHIWA HURU
Mtoto wakiume wa mfungwa anayetumikia kifungo cha maisha jela , Nguza Viking "Babu Seya" Mbangu Nguza ameibuka na kudaj kuwa mwka 2017 ndyo wa mwisho kwa baba yake na mdogo wake Jonson Nguza "Papii Kocha " kuendelea kutumikia kifungo hicho jela .
Akizungumza na mahojiano na amani mwanzoni mwa wiki hii Mbangu alisema kuwa turufu ya mwisho ya kesi hiyo ya mahakama hiyo ipo mikononi mwa mahakama ya haki za binadamu afrika (AFCPHR) yenye makazi yake mjini Arusha ambayo vikao vyake vitatu vimeshakaa na kuamua kuwa hukumu ya babu seya na papii ilikuwa na dosari .
Comments