EVERTON YAWASILI DAR, WAFAHAMU WACHEZAJI ILIOKUJA NAO HAPA.



 Klabu ya Everton imewasilj muda mcheche uliopita nchini Tanzania 
Ikiwa inatokea nchini uingereza huku ikiwakosa wachezaji wake watatu muhimu katika kikosi hicho kutokana na majeruhi waliokuwa nayo wachezaji hao .

  Pamoj na hayo timu ya Everton imeongozwa na mchezaji nyota Wayne Rooney na Davy Klaessan na Michael Keane ambao pia wamejiunga na klabu hivi karibuni .

Kikosi kamili kilichotua leo hii ni :

Maarten Stekelenbug, Mateus Hewelt, Chris Renshaw, Tom Davies, Phil Jagielka, Ashley Williams, Callum Connolly, Jonjoe Kenny, Michael Keane, Muhamed Besic, Leinghton Baines, Morgan Schneiderlin , James McCarthy, Davy Klaassen.

 Wengine ni Gareth Barry, Idrissa Gana Gueye, Joe Williams, Kieran Dowell, Kevin Mirallas, Wayne Rooney, Aaron Lennon , Dominie Calvert Lewin, Ademola Lookman , Mathew Pennington na Yannick Bolasie.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.