MWANAMKE NGURI WA DAWA ZA KULEVYA ANASWA .
Wakati serikali ikipambana na kukomesha uuzwaji wa dawa za kulevya , watu wengine ambao ni waharibu wameendelea na usambazaji wa dawa za kulevya bila kuwa na hofu yoyote ila .
Huko Unguja mwanamke mmoja ambaye inasemekana amekuwa kinara wa usambazaji wa dawa za kulevya amekamatwa na kutiwa nguvuni na vyombo vya dola .
Mwanamke huyo andaiwa kuwa na umri wa miaka 54 na amefahamika kwa jjna la Nuru Saleh Mzee mkaazi wa Kwaalinatu mkoa wa mjini magharibi Unguja .
Amekamatwa na kete 108 za unga unaoaminika kuwa nidawa za kulevya alipokuwa katika harakati za kusambaza kwa vjana .
Comments