TANZANIA YATUPWA NJE MASHINDANO YA CHAN NA RWANDA
Timu ya taifa ya Tanzania imeshindwa kusonga mbele katika kuwania nafasi ya kushiriki michuano ya CHAN ambayo huhusisha wachezaji wa ndani tu.
Tanzania imetupwa nje baada ya kutoka sare ya bila kufingana katika mchezo wa leo uliochezwa nchini Rwanda matokeo ambayo yanaianya Tanzania kutupwa nje kufuatia matokeo ya mchezo uliopita kutoka sare ya goli 1-1 mchezo uliochezwa mjini Mwanza mchini Tanzania .
Rwanda inasonga mbele kufuatia goli la ugenini walilolipata nchi Tanzania , Rwanda sasa itakutana na Burundi ambayo imeitoa Sudan
Comments