KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA LIPULI FC LEO UWANJA WA TAIFA .
Klabu ya Yanga itacheza mchezo wake wa kwanza leo dhidi ya Lipuli FC ambayo imepanda ligi kuu kwa mara ya kwanza leo hiijatika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam .
Yanga itashuka dimbani katika mchezo wake wa kwanza huku mahasimu wao wakubwa Simba SC wakiwa wamecheza jana na kutoa kipigo kikali cha goli 7 - 0 dhidi ya Ruvu Shooting .
Kikosi cha Yanga kimetangazwa mapema leo hii ambacho ni
1. Routhe Yostand
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrey Vicent
5. Kelvine Yondani
6. Papy Tshishimbi
7. Raphael Daudi
8. Thabani kamsoko
9. Emanueli Martine
10. Donald Ngoma
11. Ibrahim Ajibu
Substitutes:
Kabwili
Hassani Kessy
Mwinyi Haji
Abdalah Shaibu
Said Juma
Matheo Anthon .
Imeandaliwa na
MmisangleHotnews.blogspot.com
0625954293/0659116814
Comments