MADAI YA WATUMISHI KULIPWA .
Waziri mkuu Kassimu Majaliwa amesema madeni yote ya watumishi kulipwa hivi karibunj ambayo yote amekwisha hakikiwa na kukutwa kuwa ni halali na hayana dosari .
"Mhe. Rais alisitisha suala la malipo kwa sababu ya zoezi la uhakiki ambalo limekwisha kamilika na yale yaliyohalali yamekwisha bainika na yatalipwa hivi karibuni . Tunataka watishi manye kazi ya kuwahudumia wananchi kwa mfasaha . " Alisema waziri mkuu jana jumamosi alipokuwa akiongea na watumishi wa wilaya ya uyui kwenye mkutano alipokuwa akiongea na watumishi wa kata ya Goweko wilayani Uyui mkoani Tabora .
Akiwa katika wialya ya Sikonge, Uyui, Urambo na Kaliua waziri mkuu alielezwa na baadhi ya wabunge kuwa kuna watumishi ambao walihamishwa kutoka manispaa kwenda wilaya zingine yapata miaka mitano lakini mpaka sasa hawajalipwa madeni yao ya uhamisho .

Comments