FIFA:TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA VYA MWEZI .

   


        Tanzania imeporomoka viwango vya FIFA kwa nafasi 11 kutoka nafasi ya 125 hadi nafasi ya 136 iliyotolewa na FIFA ya mwezi huukati ya mataifa 211 wanachama wa FIFA.

     Katika viwango hivyo vilivyotolewa jana jumatatu na FIFA , Kenya nayo imeshuka kwa nafasi 14 hadi nafasi ya 102 huku Burundi ikibaki katika nafasi yake ya 129 huku Rwanda ikibaki katika nafasi ya 118 na Uganda ikiwa ndiyo Taifa pekee kwa Africa Mashariki lililopanda likitoka nafasi ya 71 hadi 70 na kuwa miongoni mwa mataifa 10 bora Afrika .


Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.