KENYA: MWENYEKITI WA IEBC AAHIRISHA UCHAGUZI.

 

      Mwenyekiti wa IEBC nchini Kenya Wefura Chebukati ameahirisha uchaguzi katika baadhi ya maeneo nchini Kenya na kusema kuwa uchaguzi huo utafanyika Oktoba 28 kwa kile kinachodaiw akuwa kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile unyesha w mvu kubwa.



  Chebukati akitaja maeneo ambayo uchaguzi umeahirishwa ni pamoja na Kisumu Migori, Siaya na Homabayi na kuwa katika maeneo hayo uchaguzi utafanyika siku ya jumamosi oktoba 28 .
Amesema wamefikia maamuzi hayo kutokana na maeneo hayo kuwa na changamoto mbalimbali ikiwemo masuala ya kiusalama jambo ambalo limefanya wapiga kura kuwepi na wasiwasi wa kiusalama .




Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.