YANGA NA SIMBA NI VITA KALI YA LWANDAMINA NA OMOG

       

   Makocha George Lwandamina na Omog wanategemea kukutana siku ya tar. 28 cku ya jumamosi ktika uwanja wa uhuru.

  Lwandamina na Omog wamekuana mara nne tangu Lwandamina akabidhiwe timu hiyo . katika mchezo huo ujo mwenye hasira sna ni Lwandamina kwani mchezo wa ligi kuu uliopita na uliochezwa tar:21 feb mwaka huu Lwandamina alichapwa 2 - 1 huku ya komba la  final ya kombe la mapinduzi 27 na fainal ngao ya jamaii (2017)ambayo Lwandamina alichapwa kwa mikwaju ya penat baada ya kumalizik kwa dk 90 .

   Kitu pekee chakujivunia kwa timu zote mbili ni kuwa Simb wametoka kupta ushindi wa goli 4 huku yanga nao wakijibu mapeigo hayo kwa kushindi.


Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.