DOGO JANJA AFUNGUKA KUHUSU KUFUNGA NDOA NA IRENE UWOYA .

   

    Msanii wa bongo fleva Dogo Janja amefinguka kuwa kweli amefunga ndoa na msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya na amekiriri kuwa amembadilisha dini na kuwa mwisilamu . Pia dogo janja amegoma kuonglea suala la kwanini wazazi wa Uwoya hawakuhudhuria katika tukio hilo .

 Dogo Janja pia amekiri kufunga ndoa na sanii huyo na kusema kuwa kwa ssa Uwoya anaitwa Sheillah. Akitoa maelezo na mwanamziki Keisha amesema ndoa hiyo ilifungwa kwa kupata baraka zote kuoka kwa ndugu wa pande zote baada ya kutoa posa wiki mbili zilizopita .




    Pia amesema kuwa Uwoya alibadili dini wikj tatu zilizopia na kusema kuwa Posa , mahari na ndoa vilichukua muda wa wiki tatu mpka kukamilika na kusema kuwa eneo ilipofungiwa ndoa ni kwa Mkubwa wake wa kazi na mtu wake wa karibu zaidi ambaye ni Madee na kusema kuwa ilikuwa eneo la siri .



    Alipoulizwa kuwa inawezekana vipi ndoa ikafungwa sehemu nyingine na sikwabibi harusi alisema kuwa walikwenda kumchukua bibi harusi na kufunga ndoa .

 



Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.