KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISON HIKI HAPA .
Klabu ya SIMBASIMBA leo itashuka uwanjani katika mwendelezo wa ligi kuu ya VPL dhidi ya Tanzania Prison .
Kifuatacho ndicho kikosi cha SIMBA ambacho kinatakiwa kuhakikisha kuwa klabu hiyo inaondoka na point 3 katika michezo huo ambao watakuwa wageni vinara hao wa VPL.
1. Aish Manila(28)
2. Erasto Nyoni(18)
3. Mohammed Hussein (15)
4. James Kotei (3)
5. Yusuph mlipili(5)
6. Jonas Mkude (20)
7. Shiza Kichuya (25)
8. Mzamiru Yasini (19)
9. John Bocco (22)
10. Mwinyi Kazimoto(24)
11. Haruna Niyonzima(8)
Wachezaji watakao tokea katika benchi ili kuongeza nguvu ni:
1. Immanuel Msaja (30)
2. Ally Shomary(21)
3. Nicolas Gyan(29)
4. Laudit Mavugo (11)
5. Juma Luzio (10)
6. Mohammed Ibrahim(4)
7. Jamali Mnyate (14)
Comments