MAHUSIANO: HIZI NDIZO TABIA ZA WACHEPUKAJI.
Katika uhusiano jambo la uaminifu ni lamsingi na muhimu sana na watu wengi wamekuwa wakilizwa / Julia sana katika MAHUSIANO kutokana na tabia za wenzi wao kutoeleweka.
Uaminifu imekuwa shida kiasi kwamba inapelekea watu kufikiria kufanya maamzi pengine ambayo hayapo sahihi kabisa.
Ukiona mpenzi wako anaonekana kuwa na ishara hizi , anza kufatilia Kwa undani.
1. Hakai mbali na simu hake .
2. In box na sent item hufutwa .
3. Ukimuomba simu yake ghafla,
atakuambia ngoja kidogo.
4. Kamwe haiiti Kwa sauti, siku zote
inawekwa mtikisiko(Vibration).
5. Kuna simu hapokei hata iweje,huchat
huchat Kwa SMS tu.
6. Mamba nyingi huwa haziseviwi.
7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa
Kwa majina ya kufikirika tu .
8. Anapenda password na hubadili Mara
kwa Mara.
9. Muda mwingi huutumia kujihami.
10.Hawezi kukuweka kwenye profile
na akikuweka hukaii sana anakutoa.
11. Wakati anachat hukuangalia Mara Kwa
Mara usoni .
Kuwa makini na mahusiano yako ,na ujumbe huu hauna nia ya kuvurugha uhusiano wako .
Kwa mawasiliano :
samwelim418@gmail.com
Facebook: Samweli barca misangle
Whatsap: 0625954293
Comments