MAMA KANUMBA : NAWEZA KWENDA KUMUONA LULU GEREZANI
Mama wa aliyekuwa msanii wa bongo move STEVENE C KANUMBA amesema kuwa ataongea na Mungu ili kama ataweza kwenda msanii Elizabeth Michael "LULU" ambaye yuko gerezani Kwa sasa kufuatia hukumu ya kifungi cha miaka miwili aliyohukumiwa na mahakama kuu jijini Dar es Salaam baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia .
Mama KANUMBA aliyasema hayo alipokuwa kwenye uzinduzi wa filamu ya Zero Player aliyocheza mwanamitindo maarufu Hamissa Mobetto iliyozinduliwa Jana ijumaa katika ukumbi wa Suncrest Sunplex uliopo Quality Center jijini Dar es Salaam.
Comments