MECHI ZA LIGI KUU VODACOM JUMAPILI YA LEO HIZI HAPA

HABARI ZA MICHEZO


Michezo itakayopigwa leo katika viwanja mbalimbali nikama ifuatavyo:

1. Njombe mji V/S  Azam FC
            2. Mtibwa Sugar V/S Kagera Sugar
3. Yanga SC V/S Mbeya City. 

Ligi kuu VPL Tanzania bara itaendelea leo Kwa michezo mbalimbali .
Je, nani kuibuka mshindi leo tena?
Endelea kufuatilia matokeo hapa hapa .

Like & Share: 


                      Page fb: Misangletz
                     Whatsap:0625954293

             Email.....samwelim418@gmail.com


Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.