OMOG TUTASHINDA BILA OKWI

   

     Kocha mkuu wa Simba Joseph Omog amesema katika michezo wa leo wataibuka na ushindi hata bila ya kuwepo Kwa mshambjliaji wao Emanuel OKWI.
Amesema kuwa kukosekana Kwa OKWI hakutaathiri timu take kwani timu take inawachezaji wengi na wazuri pia .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.