VPL KESHO JUMAMOSI : MICHEZO MIKALI YA WEEKEND HII .
Ligi kuu ya Tanzania bara maarufu kama VPL imeanza ijumaa ya leo kwa mchezo mmoja kati ya Majimaji na Stand United na wenyeji watakuwa ni majimaji .
Nimekuwekea michezo ambayo itakuwa ikifatiliwa na watu kwa jicho la tatu katika weekend hii .
Kwa siku ya jumamosi ratiba ya ligi kuu VPL itakuwa kama ifuatavyo :
1. Singida United v/s Yanga .
2. Ndanda FC v/s Mtibwa Sugar
3. Azam FC v/s Ruvu Shooting
Jumapili:
1. Mbeya City v/s Simba SC
Comments