YANGA: KUELEKEA MCHEZO WA MBEYA CITY WANENA HAYA KUHUSU KAMSOKO,NGOMA NA TAMBWE.
HABARI ZA MICHEZO:
Klabu ya Yanga kupitia msemaji Wa klabu hiyo Dismas Ten wamenena kuelekea mchezo wao dhidi ya Mbeya City leo tarehe 19/11/2017 katika uwanja wa Uhuru .
Ten amesema kuwa timu yao iko vizuri na wamejiandaa vizuri kuelekea mchezo huo , Aisha Ten amezungumza kuhusu kuwepo Kwa Ngoma,Tambwe na Kamsoko katika mchezo huo .
" Tambwe na Kamsoko walikuwa na majeraha wakiwa chini ya uangalizi wa Madaktari maalumu na taarifa yao ya mwisho ilidhibitisha kuwa wako fiti na wako tayari kuanza mazoezi na wameanza siku nne zilizopita na wako kwenye kikosi kucheza leo lakini huo in uamzi wa benchi LA ufundi kama wataamua kuwatumia sasa au katika mechi nyingine "
Msomaji wa misangletz.blogspot.com Kamsoko amekuwa nje Kwa mchezo kadhaa ya Yanga wakati Hamis Tambwe yeye hajacheza mchezo hata mmoja tangu kuanza Kwa ligi kuu ya VPL.
Ten amesema katika mchezo wa leo wanaiingia na kuhakikisha wanapata ushindi na kuondoka na point 3 muhimu ili wazidi kuimalika zaidi katika ligi kuu.

Comments