arsenal YAPIGA MAMBO MAWILI MAKUBWA KWA WAKATI MMOJA
Klabu ya Arsenal na mashabiki wake wanaweza kuwa na furaha kubwa sana kwa siku ya leo japo jana wametoka kuchezea kipigo kutoka kwa Swansea .
Pierre Aubameyang aliyekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu na kwa hamu kubwa hatimaye leo hii amesaini kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo kwa ada inayotarajiwa kukaribia £59m.
Aubameyang ambaye alifunga jumla ya magoli 172 katika michezo 213 ambapo anakuwa mchezaji chali wa Arsenal akizidi rekod iliyowekwa na Alexandre .
Wakati Aubameyang akisaini mkataba Arsenal leo hii, leo hii hii pia kuna habari ambayo ni kubwa na nzuri kwa mashabiki wa klabu hiyo baada ya kusumbua kwa muda mrefu mshambualiaji wao mfaransa Mesult Ozil amesaini mkataba mwingine klabuni hapo .
Mesult Ozil kwa mkataba huo anakuwa mchezaji atakayelipwa fedha nyingi klabuni hapo ambapo atakuwa akilipwa £350, 000 kila ifikapo mwisho wa wiki.
Toka mwanzoni mwa mwezi huu Arsenal walikuwa wakitaka mazungungumzo na mchezaji huyo ambaye habari zilidai kuwa huenda angeondoka klabuni hapo km alivyofanya Alex Sanchezi lakini ameamua kubaki tena klabuni hapo . kwa sasa kila shabiki wa klabu hyo anasubiri kuona uwepo wa Aubemayang, Ozil, Lacazete, Heinrich Mkhtaryan jinsi ambavyo safu ya ushambuliaji itakavyokuwa .
Misangle Samweli 025954293 Whats

Comments