MESSI AVUNJA RECORD NYINGINE YA MAGOLI

   Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Lionel Messi ameendelea kuwa imara katika kuvunja na kuweka record moya katika LA LIGA na kwenye ligi bora tano balani ulaya baada ya mchezo wake wa jana jumapili kufunga goli moja katika mchezo waliocheza dhidi ya Real Sociedad walpotoka nyima kwa mabao 2 na kushinda kwa goli 4 .

  Messi amevunja record ya muda mrefu ya Gerd Muller mshambuliaji wa Ujerumani , Messi amevunja record baada ya kufikisha magoli 366 katika ligi moja .

   Gerd Muller aliweka record ya kufunga magoli 365 akiwa Beryen Munchen katika ligi kuu Ujeruman maarufu kama Bundersliga .

    Lionel Messi alifunga goli hilo la 366 katika dk ya 85 baada ya kupiga pigo huru umbali wa mit 25  ikiwa ni pigo huru.

   Gerd Muller aliweka record hiyo miongo kadhaa iliyopita akwa na Buyen kuanzia mwaka 1964 mpk mwaka 1979 na kufanikiwa kutupia nyavuni goli 365 akiichezea timu hiyo michezo 427 .

   Messi amefanikiwa kuvunja record hiyo akiwa na mechi 400 huku mabao yake akiwa ameyafunga kwa staili tofauti tofauti kama lvyohapa chjn :

       1. Mguu wa kushoto magoli 288
       2. Mguu wa kulia magoli 64
       3. Kichwa magoli 13  na
       4. Mkono magoli 1




                  Imeandaliwa na :

              Misangle Samweli 

             0625954293/0659116814

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.