SIMBA WAMELETA MRITHI WA OMOG HUYU HAPA .
Klabu ya Simba kwa taarifa za chini chini zinasema kuwa kocha wa Zamani wa TP MAZEMBE na timu ya Etoul Duh Sahel , Hubert Velud natarajiw akumrithi Joseph Kmog baada ya kusitishiwa ajira yake na viongozi wa klabu hiyo . Kocha huyo wa Kifaransa tayari ameshakubaliana na viongozi wa klabu ya simba kimsingi baada ya kufanya mazungumzo na klabu hiyo ambayo inaongoza ligi kuu ya VPL Tanzania bara .
Comments