MAYELE NA YANGA KIMEUMANA

HABARI ZA MICHEZO


#TETESI
💧Yanga Wanapambana kumuongezea Kinara Wao Wa Mabao Fiston Kalala Mayele Mkataba Lakini Wanapingana na Nguvu kubwa ya Pesa Kutoka katika clubs mbalimbali

♟Sepahan Fc Kutoka Iran, Inayoshiriki Ligi Kuu nchini Humo Inayoitwa PERSIAN GUFF PRO LEAGUE Ambayo Imefuzu Kucheza Mishindano Makubwa Barani Asia (ASIA CHAMPIONSHIP QUALIFIERS) Wamepeleka Ofa ya kuhitaji huduma ya Mayele.

♟Kaizer Chiefs Nao Wamepeleka Maombi Ya kuhitaji Huduma Ya mayele Lakini Yanga wakaweka Dau Ambalo Limewafanya Kaizer kusita kwanza ambalo ni R10 millions (1.3B TZs). Pesa hiyo imekuwa kubwa kwa bajeti ya Kaizer kumbeba Mayele Na kuwafanya Wakae Wajitafakari Zaidi.

♟Pia Mamelods Sundowns "The Brazillians" or "Yellow Nation" Have Shown An interest On Signing Fiston Mayele For The Next Seasons.

♟Pia Kuna Al Hilal Ya Sudan, Wanamtumia Kocha wao Mkongomani Florence Ibenge Kumshawishi Mayele Kujiunga na Club hiyo. Nao Mahasimu Wa Al Hilal, Al Mereikh Wameonesha nia Ya kutaka huduma Ya Mayele, Nao Wamepeleka Ofa Yao.

♟Pia Kuna Raja, Na As Far Rabat Nao Wamefungua Mazungumzo Wakitaka huduma Ya Mchezaji Huyo Tishio Tanzania Na Barani Afrika Akiwa Top scorers, Goli 17 In NBCPL, Na Akiwa Pia Top Scorers Wa CAF Comfideration Cup 2022/23.

✍Kuna Mpambano Mkali Sana, Hasa Kutoka Kwa Waarabu Na Hii club ya Asian, Huu ndio Muda Wa Yanga sc Kutengeneza Pesa.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.