SIMBA SC WAACHANA NA JONAS MKUDE
HABARI ZA MICHEZO : THANK YOU IMEENDA KWA JONAS MKUDE .
KUPITIA KURASA ZAO SIMBA SC WAMEANDIKA KUWA : Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika muda wote wa miaka 13 aliyodumu nasi. Tunamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ya maisha ya soka nje ya Simba. Taarifa zaidi Simba App
#WenyeNchi #NguvuMoja
By : Sam_Misangle
Whatsap : +255629552663
Comments