TETESI : KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA

HABARI ZA MICHEZO : 

TETESI: KOCHA MPYA YANGA SC




Baada ya kuondoka kocha Nabi, klabu ya Yanga imeanza mazungumzo ya mkataba na Miguel Ángel Gamondi. Miguel ni  kocha kutoka Argentina anayekinoa kikosi cha Ittihad Tanger (Morocco). 

Kocha huyo ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika kwani kashawahi kuwa kocha mkuu katika klabu za Mamelodi Sundowns, USM Alger, Wydad Casablanca, Platinum Stars na CR Belouzidad.

Gamondi pia kashawahi kuwa kocha msaidizi timu ya taifa ya Burkina Faso na Esperance Sportive de Tunis.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.