MSHAHARA WA MESSI INTER MIAMI HUU HAPA SASA .
HABARI ZA MICHEZO.
Mmiliki mwenza wa klabu ya Inter Miami, Jorge Mas amethibitisha kuwa mshambuliaji mpya klabuni hapo Lionel Messi atapokea mshahara kati ya euro milioni 45-55 kila mwaka .
"Mazungumzo yalidumu kwa miaka mitatu, ikijumuisha mwaka mmoja na nusu wa mazungumzo makali sana"
MESSI PIA ATAPOKEA:
▪️Asilimia kadhaa ya mauzo ya jezi za klabu hiyo.
▪️Sehemu kwenye usajili wa Apple TV ya MLS
▪️Hisa za Franchise baada ya kustaafu.
NB: Mshahara huo wa Messi kwa mwaka ni kati ya Tsh bilioni 119 mpaka Tsh bilioni 145 kwa mwaka.
✍️ Hata hivyo mshahara huo wa Messi ni kiduchu sana ukilinganishwa na mshahara wa hasimu wake wa muda mrefu, Cristiano Ronaldo anayelipwa Tsh bilioni 530 kwa mwaka huko Al Nassr FC ya Saudi Arabia.
Via #kitengeMaulid
#sam_misangletz
Comments