NEWCASTLE UNITED WAMWAGA PESA KUFURU BIL. 183

HABARI ZA MICHEZO


#MICHEZO Klabu ya Newcastle United ya Ligi Kuu England EPL imekamalisha usajili wa kiungo Sandro Tonali kutoka AC Milan ya Italia kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 60 zaidi ya Bilioni 183 na milioni 999 kwa pesa ya Tanzania.

Tonali raia wa Italia ana umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka 5 kujiunga na Newcastle United. Tonali ameweka rekodi kuwa mchezaji ghali zaidi aliyenujuliwa na Newcastle akivunja rekodi ya Alexander Isak ambaye alijiunga na Newcastle kwa dau la Pauni milioni 55 akitokea Real Sociedad. 

Huu ni usajili wa kwanza kwa Newcastle United kwenye dirisha hili kubwa la usajili kuelekea msimu ujao wa 2023-24.

#NewcastleUnited #SandroTonali

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.