SIMBA SC HAPA NDIPO KAMBI YA PRE SEASON ITAPOKUWA .
HABARI ZA MICHEZO
... 🚨 || RASMI, IMETHIBITISHWA:
☑️ Simba SC🇹🇿 kuweka kambi ya Pre-season nchini Uturuki 🇹🇷
Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa itaweka kambi ya Wiki tatu Nchini Uturuki 🇹🇷 kwaajili ya kujiandaa na Msimu Mpya wa Mashindano wa 2023/24.
Wachezaji wote waliosajiliwa na Simba na wale wa zamani watakuwa sehemu ya Kambi hiyo huku wakitarajia kucheza Michezo mitatu dhidi ya timu za Uturuki 🇹🇷 kabla ya kurejea Nchini Mwishoni mwa mwezi huu.
#sam_misangletz
Whatsap : +255629552663
Comments